Mtihani wa KCSE kung’oa nanga siku ya Jumanne

  • | KBC Video
    14 views

    Watahiniwa milioni 2.2 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne,KCSE katika vituo 10,565 kuanzia kesho. Baraza la kitaifa la mitihani nchini limesema liko tayari kusimamia mtihani huo ambao utafanywa chini ya ulinzi mkali. Haya yanajiri huku wanafunzi pia wakijiandaa kufanya mtihani wa gredi ya sita wiki ijayo. Joseph Wakhungu na taarifa kamili kuhusu maandalizi ya mwisho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive