Mawakili wa Gachagua waibua maswali kuhusu jopo la majaji

  • | Citizen TV
    20,000 views

    Kesi kuhusu kuondolewa kwa Rigathi Gachagua na mabunge ya taifa na seneti inasikizwa mbele ya maji watatu Eric Ogolla, Anthony Mrima, na Freda Mugambi. Majaji hao wanatoa uamuzi kuhusu agizo la kumzuia Profesa Kithure Kindiki kuapishwa kuwa naibu rais