Wanawake wapewa mafunzo ya kibiashara Narok

  • | Citizen TV
    250 views

    Baadhi ya wawakilishi wa makundi ya akina mama wenye pato la chini eneo bunge la Narok Mashariki wamefaidika na mafunzo ya siku moja ya kujiinua kibiashara.