Fuo za bahari za Diani zatuzwa kama fuo bora zaidi barani Afrika

  • | Citizen TV
    511 views

    Fuo za bahari za Diani zimetuzwa kama fuo bora zaidi Barani Afrika kwa mara ya nane mfululizo katika tuzo za World Travel Awards mwaka wa 2024.