Kifaa hiki chatumika kuwasha vifaa vya elektroniki

  • | Citizen TV
    541 views

    Mohamed Athman, Kijana mwenye umri wa miaka 26, ametumia ujuzi wake kwenye tasnia ya elektroniki, kutengeneza kifaa kinachotumia sauti kuwasha vifaa mbalimbali vya nyumbani kama vile taa, feni, runinga, pampu za maji, na hata kusafisha choo. kijana huyo sasa anatarajia kutumia ujuzi wake kuboresha utekelezaji wa shughuli za kila siku za nyumbani.