- 146 viewsDuration: 2:39Gavana Simba Arati: Mzee ambaye amelala hapa ni baba yangu wa kisiasa. Raila amefanya mambo makubwa ambayo taifa zima linayatambua. Baba nenda salama, tunakuahidi kwamba sisi tutaibeba na kuitunza bendera yako ya demokrasia na haki. #RIPRailaOdinga Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive