- 215 viewsDuration: 1:59Wakenya watakuwa na fursa ya kufuatilia mazishi ya aliyekuwa waziri mkuu marehemu Raila Odinga nyumbani kwake Bondo kaunti ya Siaya kupitia runinga kubwa zitakazowekwa kwenye miji mbalimbali nchini. Akizungumza katika chuo kikuu cha Jaramogi Oginga Odinga katika kaunti ya Siaya, katibu katika wizara ya usalama Raymond Omollo alisema kutakuwa na mkesha wa maombi kwenye shamba la Raila la Opoda kabla ya hafla ya mazishi kesho Jumapili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive