- 53,635 viewsDuration: 4:11Mabadiliko ya mipangilio yalishuhudiwa baada ya mwili wa aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga kuwasili katika kaunti ya Kisumu leo asubuhi. Helikopta ya kijeshi iliyousafirisha mwili huo ilitua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kisumu saa moja na dakika ishirini asubuhi, chini ya ulinzi mkali, huku kukiwa na matarajio makubwa ya kuutazama mwili huo miongoni mwa waombolezaji waliokuwa wamekusanyika kushuhudia msafara hadi uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta ulioko Mamboleo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive