Majaji watatu kutoa uamuzi iwapo watajiondoa au wataendelea kusikiza kesi ya naibu rais

  • | Citizen TV
    7,057 views

    Majaji watatu watatoa uamuzi alasiri kuhusu iwapo watajiondoa au wataendelea kusikiza kesi inayopinga hatua ya naibu jaji mkuu kuteua jopo la kusikiza kesi inayopinga kuapishwa kwa Profesa Kithure Kindiki kama Naibu Rais.