Zoezi la kukusanya maoni ya wakazi linaendelea Kajiado

  • | Citizen TV
    741 views

    Kamati ya kukusanya maoni kuhusu uhamisho wa usimamizi wa mbuga ya wanyama pori ya Amboseli, kutoka kwa serikali ya kitaifa hadi serikali ya Kaunti ya Kajiado,imesema inalenga kukamilisha ripoti yake mwishoni mwa mwezi Novemba baada ya shughuli hiyo kukamilika.