Watetezi wa haki za binadamu walalamika Garissa

  • | Citizen TV
    173 views

    Watetezi wa haki za binadamu kutoka kaunti ya Garissa, wanalalamikia kuhangaishwa na polisi wakati wanaposaka haki kwa wale waliotekwa nyara na watu wanaoaminika kuwa ni maafisa wa usalama.