Wizara ya afya yaonya dhidi ya bidhaa zenye madini

  • | Citizen TV
    484 views

    Wizara ya afya imewatahadharisha wakenya dhidi ya matumizi ama ubunifu wa bidhaa yenye madini ya risasi huku ikipendekeza sheria ya kudhibiti bidhaa hizo.