Miundomsingi duni ya shule inaathiri masomo

  • | Citizen TV
    236 views

    Serikali imedaiwa kujenga madarasa zaidi ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wanasomea kwenye mazingira bora na kuimarisha viwango vya elimu katika kaunti ya Trans Nzoia.