Mahakama kuu yaidhinisha uamuzi wa jaji Mwilu kusikiliza ombi la Gachagua

  • | NTV Video
    1,519 views

    Mahakama kuu imeidhinisha uamuzi wa naibu jaji mkuu Philomena Mwilu kwa kuunda jopo la majaji watatau kusikiliza ombi lililowasilishwa na naibu rais aliyebanduliwa Rigathi Gachagua kuwa hakupewa nafasi ya kujitetea mbele ya seneti kabala ya kung'atuliwa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya