Serikali yahakikisha kuwa vitabu milioni moja vya gredi ya 9 vitawasilishwa shuleni

  • | K24 Video
    50 views

    Serikali imewahakikishia wazazi na wakuu wa shule kuwa vitabu milioni moja vya gredi ya 9 vitawasilishwa shuleni kuanzia mwezi januari mwaka ujao. Serikali pia itawasilisha vitabu vipya vya gredi ya kwanza hadi ya sita shuleni, aidha, imebainika kuwa ijapokuwa walimu wengi hawana kazi bado kuna uhaba wa walimu hasa wa sanyansi kufuatia ukosefu wa fedha za kutos