Serikali yahimizwa kuboresha muundo mbinu

  • | KBC Video
    8 views

    Serikali ya kitaifa imehimizwa kukamilisha ujenzi wa madarasa ya wanafunzi wa sekondari msingi na kuwaajiri walimu zaidi ili kulainisha mpito wa elimu ya umilisi.Gavana wa Kakamega, Fernandes Barasa akizungumza katika shule ya msingi ya Mumias Central alisifia juhudi za serikali za kushughilikia mahitaji ya wanafunzi wa sekondari msingi lakini akasisitiza haja ya kuwaajiri walimu zaidi na kuboresha muundombinu wa shule kote nchini

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive