Wagonjwa walalamikia changamoto za bima ya afya ya SHA Nanyuki

  • | Citizen TV
    65 views

    Wagonjwa wa saratani mjini Nanyuki wamewarai wakenya kukaguliwa dalili za ugonjwa huu mara kwa mara ili kujiepusha na gharama kubwa ya matibabu pamoja na unyanyapaa .