Kaunti ya Kiambu yajenga barabara na kuweka taa

  • | KBC Video
    29 views

    Serikali ya kaunti ya Kiambu imeanzisha mradi wa ujenzi wa barabara na kukita taa 40 za barabarani katika mtaa ya mabanda wa Umoja katika maispaa ya Thika , hii ikiwa ni awamu ya pili ya mradi wa kuboresha mazingira ya mitaa ya mabanada na kuinua viwango vya maisha ya wakazi wa mitaa hiyo.Barabara hizo mpya zitakuwa na taa 36 za barabarani zinazotumia kawi ya miale ya jua ,mfumo mwafaka wa mitaro ya kuondoa maji taka na njia za watu wanotembea kwa miguu .Mradi huo utaimarisha usalama wakati wa usiku na kuongeza muda wa kufanya biashara na hivyo kuimarisha shughuli za kibiashara katika eneo hilo

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive