Familia Kwale yalilia haki baada ya mtoto wa miaka mitano kugongwa na bodaboda

  • | Citizen TV
    537 views

    Familia moja katika kijiji cha Mwamanga kaunti ya Kwale inalilia haki baada ya mtoto wao wa miaka mitano kugongwa na bodaboda na kuvunjika mguu.