Idara ya utabiri wa hali ya hewa imewataka wakulima kuzingatia maagizo ya maafisa wa kilimo

  • | Citizen TV
    756 views

    Huku wakulima wakiendelea kujiandaa kwa upanzi wa msimu huu,Idara ya utabiri wa hali ya hewa kaunti ya Makueni imetangaza kuwa mvua ya msimu huu itakuwa chache na kuwataka wakulima kuzingatia maagizo ya maafisa wa kilimo kuhusiana na mbegu wanazofaa kupanda .