Zaidi ya familia 800 zafaidika na msaada was chakula Kilifi

  • | Citizen TV
    460 views

    Zaidi ya familia 800 katika Kaunti ya Kilifi wamefaidika na msaada was chakula kutoka kwa wahisani huku hali ya ukame ukiwa umeanza kushuhudiwa. Kila familia imefaidika na chakula cha muda wa miezi miwili.