Wakazi wa Koren walalamikia kujisaidia vichakani kutokana na kukosa vyoo

  • | Citizen TV
    270 views

    Asilimia zaidi ya 90 ya wakaazi wa kijiji cha Koreni kaunti ya Lamu wanalazimika kujisaidia vichakani kutokana na changamoto ya kukosa vyoo. hali inayosababisha mlipuko wa magonjwa ikiwemo magonjwa ya kuharisha na kichocho.