Majaji watatu wa mahakama kuu waorodhesha kesi ya Gachangua katika makundi mawili

  • | NTV Video
    2,464 views

    Majaji watatu wa mahakama kuu wamesema kwamba kesi zote zilizowasilishwa mahakamani kuhusu kuondolewa kwa Gachagua zitaorodheshwa katika makundi mawili. Majaji hao hata hivyo watarejea mahakamani mwendeo wa saa nane unusu kutoa uamuzi wa maombi kadhaa yaliyotolewa na upande wa gachagua. Tunaungana moja kwa moja na David Muthoka aliye mahakamani kwa maenelezo ya kina,

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya