Ichung'wah ahimiza wakenya kujisajili na mapango wa SHA na kukashifu siasa potovu kuhusu SHIF na SHA

  • | NTV Video
    374 views

    Kiongozi wa walio wengi bungeni Kimani Ichungwah amehimiza wakenya na haswa wakaazi wa Kikuyu kujisajili na mpango mpya wa afya-sha akisema serikali imeweka mipango mipya ambayo itasaidia wakenya kuliko ile ya NHIF. akizungumza na wakaazi wa kikuyu kaunti ya kiambu ,ichungwah amekemea wanaoendeleza siasa potovu kuhusu SHIF na SHA ,akisema kuwa wizara ya afya itatoa maelezo zaidi ili wakenya waweze kujiunga na mpango huo bila tashwishi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya