Rais Ruto azindua kiwanda cha kawi ya mvuke Menengai

  • | KBC Video
    20 views

    Kenya inategemea ushirikiano kati ya sekta ya umma na ile ya kibinafsi kujenga vituo vikubwa vya uzalishaji umeme. Rais William Ruto anasema licha ya kenya kuwa na uwezo wa kuzalisha umeme kwa kutumia mvuke wa ardhini wa takriban Megawatt elfu 10, ni megawati 950 pekee zilizostawishwa kufikia sasa. Rais Ruto alisema hayo wakati wa uzinduzi rasmi wa ujenzi wa kituo cha kuzalisha megawati 35 za umeme cha kampuni ya Orpower Twenty-Two Geothermal katika eneo la Menengai,kaunti ya Nakuru.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive