Jopo la majaji watatu wanaosikiza kesi ya kubanduliwa kwa Gachagua wakataa kujiondoa

  • | NTV Video
    4,321 views

    Naibu rais aliyeondolewa ofisini, Rigathi Gachagua, amepata pigo la pili mahakamani kwa muda wa siku nne pekee, baada ya jopo la majaji watatu linalosikiza kesi kuhusu kuondolewa kwake kukataa kujiondoa kama alivyotaka gachagua. katika uamuzi uliochukua dakika mbili jaji msimamizi Eric Ogola alisema, jopo hilo litaendelea kusikiza kesi zinazopinga kutimuliwa kwa Gachagua na vilevile kusikiza kesi inayotaka maagizo yaliyosimamisha waziri wa usalama wa ndani profesa kithure kindiki kula kiapo cha naibu rais kutupiliwa mbali, wiki ijayo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya