Mahakama yasitisha kutia saini ya mkataba wa makubaliano baina ya kampuni ya Adani na Ketraco

  • | NTV Video
    594 views

    Mahakama kuu imepiga breki mpango wa serikali kutia saini mkataba wa makubaliano kuhusu ujenzi wa mradi wa kusambaza umeme baina ya kampuni ya Adani na Ketraco. Hii ni baada ya chama cha mawakili nchink LSK kuelekea mahakamani na kupata amri ya kuusitisha mpango huo wa zaidi ya shilingi bilioni 95. Baadhi ya malalamishi ya LSK ni kwamba mpango huo umefanywa kinyume cha sheria na kwa usiri mno. Huyu hapa Kevin Mutai na taarifa hiyo

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya