Rais wa haki za wanawake atoa wito kwa washikadau kuzidisha uwekezaji kwa wanawake

  • | NTV Video
    69 views

    Wito unatolewa kwa washikadau husika kuzidisha uwekezaji kwa wanawake kupitia shughuli za kiuchumi. Mshauri wa Rais kuhusu Haki za Wanawake Harriette Chiggai anasisitiza kuwa wanawake ni uti wa mgongo wa uthabiti wa jamii.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya