Je, sheria inasemaje kuhusu kurefushwa kwa mihula ya wabunge na rais?

  • | NTV Video
    1,465 views

    Je, ikiwa wabunge na maseneta watashirikiana kupitisha mswada huo, kuna njia yoyote ambayo wananchi wanaweza kutumia kukataa kurefushwa kwa mihula?

    Mwanahabari wa NTV David Muthoka anaangazia jinsi sheria inavyosema na kukufahamisha, ikiwa wewe ni mmoja wa wanaopinga mswada huo, ni kwa nini haufai kuwa na kiwewe hata kidogo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya