Serikali ya Narok imepongezwa kwa juhudi za kumaliza ukeketaji na ndoa za mapema

  • | NTV Video
    40 views

    Serikali ya kaunti ya Narok kwa ushirikiano na washikadau imepongezwa kwa juhudi za kumaliza ukeketaji na ndoa za mapema hasa miongoni wasichana wanaosoma, haya yanajiri wakati ambapo shule zimefungwa kwa likizo ndefu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya