Mamia ya vijana wajitokeza kutuma maombi ya kazi ughaibuni hasa taifa la Qatar

  • | K24 Video
    36 views

    Mamia ya vijana wamejitokeza kutuma maombi ya kazi ughaibuni hasa taifa la Qatar katika zoezi lililofanyika katika jumba la KICC na taasisi ya kabete. ni shughuli ambayo iliweka bayana changamoto ya uhaba wa ajira miongoni mwa vijana kwa serikali kutokana na idadi kubwa ya vijana waliojitokeza.