Wanafunzi milioni 1.3 wa gredi ya sita kote nchini wafanya maandalizi ya mtihani wa KEPSEA

  • | K24 Video
    7 views

    Wanafunzi milioni 1.3 wa gredi ya sita kote nchini wamefanya maandalizi ya mwisho ya mtihani wao wa kitaifa wa KEPSEA utakaoanza jumatatu ijayo. Maeneo mbali mbali nchini wanafunzi na walimu wameeleza utayari wao wa kufanya mtihani huo ikilinganishwa na miaka iliyopita. hatahivyo kuna baadhi ya shule zilizolazimika kuwapa nafasi wanafunzi wa shule zengine kufanya mitihani katika madarasa yao, kisa ni hazijasajiliwa kama vituo vya mitihani, ni taswira inayowapa changamoto wanafunzi na hata walimu.