Genge la majambazi waliokuwa wamejihami limewaua watu 3 Butere

  • | NTV Video
    804 views

    Hali ya taharuki imetanda katika kijiji cha Mundeku eneo la bunge la Butere katika kaunti ya Kakamega baada ya genge la majambazi waliokuwa wamejihami kwa silaha butu kuwashambulia na kuwaua watu watatu kinyama huku wengine wakiachwa na majeraha mabaya.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya