Wanachama wa hifadhi ya Mara Lemek wapinga ujenzi wa kambi ya watalii

  • | NTV Video
    59 views

    Kizaaza kilishuhudiwa katika eneo la Narok Magharibi baada ya wanachama wa hifadhi ya Mara Lemek kuchukua hatua mikononi mwao ya kupinga ujenzi wa kambi ya watalii, licha ya mahakama kusitisha ujenzi huo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya