Gachagua aonekana kuikashifu serikali kutokana na kile alichokitaja kama kufeli kwa utekelezaji

  • | K24 Video
    3,794 views

    Naibu rais aliyeng’atuliwa Rigathi Gachagua ameonekana kuikashifu serikali kutokana na kile alichokitaja kama kufeli kwa utekelezwaji wa bima ya afya na utozaji wa ushuru kupita kiasi. Semi zake zinajiri huku mwandani wake wa karibu senata wa Kiambu Karung’o wa Thangwa, akisema kuwa baadhi ya walinzi wake Gachagua wamerejeshwa kazini na serikali