Wagonjwa AIC Cure Children’s Kijabe watapata afueni baada ya vifaa vya upasuaji kupeanwa

  • | NTV Video
    69 views

    Wagonjwa katika hospitali ya AIC Cure Children’s huko Kijabe watapata afueni baada ya wathamini kutoa vifaa vya upasuaji vya thamani ya shillingi milioni ishirini kwa hospitali hiyo ili kusaidia katika upasuaji wa mifupa na uti wa mgongo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya