Wafugaji Ng'ombe wa maziwa Kiambu wanalalamika kuhusu mbegu duni na hasara

  • | NTV Video
    67 views

    Wafugaji Ng'ombe wa maziwa kutoka kaunti ya Kiambu wameibua wasiwasi kutokana na mbegu duni za mifugo wao wakidai kwa muda sasa mifugo wao hawajapata mbegu bora na hivyo kukadiria hasara.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya