Waziri Oparanya amesema serikali inapiga jeki vyama vya akiba na mikopo kote nchini

  • | KBC Video
    26 views

    Serikali iko katika harakati za kuimarisha udhibiti wa vyama vya akiba na mikopo ili kulinda matozo na akiba ya wanachama. Waziri wa ushirika Wycliffe Oparanya amesema serikali inapiga jeki vyama vya akiba na mikopo kote nchini kupitia kubuni mazingira bora ya usimamizi ili kudumisha ukuaji na uendelevu. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo chetu cha habari za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive