Wanawake 30 wameuawa tangu mwezi Januari mwaka huu

  • | KBC Video
    7 views

    Shirikisho la wanawake wanasheria -FIDA humu nchini limetoa wito kwa asasi za kiusalama kushughulikia kwa haraka visa vya mauaji ya wanawake humu nchini. Kulingana na FIDA, tangu mwezi januari mwaka huu, wanawake 30 wamefariki kutokana na dhulma kutoka kwa wapenzi wao, ila visa hivyo havijashughulikiwa ipasavyo. Sasa shirikisho hilo linamtaka Rais William Ruto kutangaza dhulma dhidi ya wanawake kuwa janga la kitaifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive