Wananchi wa Afrika waeleza dukuduku lao na matarajio yao kwa Rais mpya wa Marekani

  • | VOA Swahili
    84 views
    Vijana kutoka barani Afrika watuma ujumbe mbalimbali kwa Rais ajae atakaye chaguliwa kuongoza Marekani kutoka Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, Burkina Faso na Ethiopia, kuhusu masuala muhimu ya kitaifa na kimataifa. #vijana #afrika #wananchi #ujumbe #rais #marekani #donaldtrump #kamalaharris #kenya #africakusini #nigeria #burkinafaso #ethiopia #voa #voaswahili