'Nafikiri Marekani ina nafasi ya kipekee... dunia inaangalia... uchaguzi wa Marekani...'

  • | VOA Swahili
    22 views
    Wafanyakazi wa Ubalozi wa Marekani nchini Ethiopia wanaeleza nini faida za kushiriki kwenye uchaguzi wa Marekani. Mmoja ya nukta muhimu katika mahojiano nao ni kile baadhi yao wanachosema kunatoa nafasi ya kuhamasisha wengine kuhusu mchakato wa uchaguzi. “Nafikiri Marekani iko katika nafasi ya kipekee… dunia inaangalia kwa ukaribu sana uchaguzi wa Marekani kila unapofanyika”, ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili… #ubalozi #marekani #addisababa #ethiopia #uchaguzimarekani2024 #mchakato #uchaguzi #voa #voaswahili #donaldtrump #kamalaharris