Serikali ya kaunti ya Isiolo yahakikishia wafanyakazi wa kaunti kuwa deta zao ni slalama

  • | NTV Video
    29 views

    serikali ya kaunti ya isiolo imetoa taarifa ya kuwahakikishia wafanyakazi katika idara mbalimbali kuwa deta zao ni salama kufuatia kuwekwa wazi kwa deta za mishahara yao kwenye mitandao ya kijamii tangu ijumaa wiki iliyopita, na kusababisha misukosuko miongoni mwa wananchi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya