Waziri wa elimu Julius Migos afichua kuwa kuna upungufu wa walimu wa JSS takriban elfu 72

  • | K24 Video
    71 views

    Waziri wa elimu Julius Migos amefichua kuwa kuna upungufu wa walimu wa jss takriban elfu 72. kisa na maana? hakuna fedha za kutosha za kuwaajiri. kulingana naye ili kutatua suala hilo, walimu watafunzwa upya zaidi ya somo moja la gredi ya tisa na walimu zaidi wataajiriwa baada ya muda, hayo yakijiri walimu wakuu wa shule za msingi za umma wamesema shilingi milioni moja kwa ajili ya ujenzi wa darasa moja hazitoshi huku wakisema shule nyingi zitahitaji zaidi ya madarasa mawili.