Baadhi ya wagonjwa bado wanataabika kutokana na bima mpya

  • | Citizen TV
    360 views

    Wakenya wanazidi kuhangaika kupata matibabu katika hospitali za umma kupitia bima mpya ya SHA. Huko Mombasa katika hospitali ya makadara baadhi ya wagonjwa kutoka kaunti jirani wamelazimika kurudi kutokana na taratibu za mpango huo.