Bungoma kuunda sera ya usimamizi wa chekechea

  • | Citizen TV
    70 views

    Huenda usimamizi wa shule za chekechea katika kaunti ya Bungoma ukalainika zaidi iwapo serikali ya kaunti ya Bungoma kupitia bunge lake litakubali kutumia sera zilizopigwa msasa na wadau ili zipitishwe kuwa sheria.