Kina mama wajawazito kutoka Kisii wapata mafunzo

  • | Citizen TV
    175 views

    Hafla hiyo iliyofanikishwa kwa ushirikiano, hospitali ya rufaa ya Kisii na bodi ya kupambana na ukeketaji wa watoto wasichana, na Credo faster, ilitoa mafunzo kwa kina mama wajawazito kutoka mashambani kuhusu umuhimu wa kujifungulia hospitalini kando na maswala yakujikinga dhidi ya dhulma za kijinsia.