Bodi ya madaktari wa mifugo yatoa onyo

  • | Citizen TV
    296 views

    Bodi ya madaktari wa mifugo imewaonya wafanyibiashara wanaowahadaa wananchi Kwa kuwauzia dawa ghushi za mifugo na wale wanaoendesha biashara hiyo bila leseni. Hayo yamejiri huku bodi hiyo ikifanya ukaguzi wa maduka ya kuuza dawa za mifugo. ukaguzi huo ulifanywa katika mji wa Maralal na viunga vyake.