Kongamano la afya laandaliwa Homa Bay

  • | KBC Video
    18 views

    Makala ya pili ya kongamano kuhusu utendakazi bora yaliandaliwa katika kaunti ya Homa Bay kwa lengo la kutathmnini utoaji huduma za afya katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita na kuimarisha utendakazi. Kongamano hilo chini ya kauli mbiyu “Matumizi ya Huduma za Afya kwa wote” lilivutia wajumbe kutoka taasisi mbalimbali za afya katika eneo hilo.Washiriki walipata fursa ya kutagusana na wenzao na kubadilishana maoni kuhusu mikakati ambayo imewawezesha kufaulu katika mahali pao pa kazi. Hali kadhalika walipata maarifa kuhusu hatua zilizopigwa katika ulingo wa afya ulimwenguni na jinsi wanavyoweza kukumbatia mitindo ibuka ya kiafya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive