Rais Ruto ahudhuria kongamano la maitafa ya COMESA inayoendelea nchini Burundi

  • | Citizen TV
    1,077 views

    Rais William Ruto yuko ziarani nchini Burundi ambapo anahudhuria kongamano la marais na viongozi wa serikali wa mataifa 21 ya COMESA.