Kwa nini vijana wengi nchini Dominika hawapendi mchezo wa kandanda

  • | Citizen TV
    505 views

    Taifa La Jamhuri Ya Dominica limepata fursa ya kuandaa mchuano wa Soka wa Kimataifa kwa Mara ya kwanza wakiwa mwenyeji wa kombe la Dunia kwa wasichana walio na chini ya miaka 17. Ila Hilo halijaweza kuufanya mchezo huo kupendwa zaidi Katika taifa hili La vsiwa vya Carribean.